Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya kimataifa ya Shinning School Songwe Mbeya wakiwa katika maandamano ikiwa ni sehemu ya kufurahia tukio hilo mwishoni mwa wiki mkoani hapa (Picha Jamiimojablog)
Wazazi wakiwa katika nyuso za furaha baada ya watoto wao kuhitimu elimu ya msingi katika shule hiyo.
MKurugenzi Mtendaji wa shule ya kimataifa ya Shinning School iliyopo nje kidogo ya mji wa mbeya eneo la songwe kiwandani Amani Kajuna ambaye pia ni Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya akizungumza katika hafla hiyo.
Unaweza kuzitambua video zilizotengenezwa kwa AI?
-
Mojawapo ya ishara za wazi ni pale unapoona video yenye ubora hafifu iwe
yenye ukungu, au ukijani hilo linapaswa kukupa tahadhari kwamba huenda
unatazama v...
0 comments:
Post a Comment