| Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin Mhando (kushoto), akizungumza kuhusu tamasha hilo kubwa la jahazi. Kulia ni Mjumbe wa bodi wa Tamasha la Jahazi, Fatma Allo. |
| Meza Kuu. Kutoka kushoto ni Mratibu John Mchaina 'Simple', Mratibu Rehema Jonas, Mjumbe wa Bodi, Mahabobo Champs, Daniel Nyalusy, Ofisa Mtendaji Mkuu, Martin Mhando na Mjumbe wa Bodi, Fatma Allo. |
| Baadhi ya wasanii watakaotoa burudani siku hiyo ya tamasha. |
| Wanamuziki na wasanii wa filamu wakiwa kwenye mkutano huo wa kutambulisha tamasha hilo. |
| Mtayalishaji wa muziki, Cadrake Touch (kushoto), Msanii wa filamu Mzee Chilo na mwanamuziki Elias Barnaba wakiwa kwenye mkutano huo. |
| Wanahabari na wadau wa filamu wakiwa kwenye mkutano huo. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment