| Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala Carren Mgonja akizungumza na maofisa wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF walipowatembelea makao yao makuu |
| Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Timberland Jogging wakisoma vipeperushi vya Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF |
| Makao makuu ya kikundi cha Timberland Jogging wanachama wakiwa na maofisa wa NHIF baada ya kugawa msaada wa fulana pamoja na ahadi ya kufanya kazi p-amoja na kikundi hicho kilichopo Yombo Kilakala |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment