Meneja wa huduma kwa jamii wa Airtel, Hawa Bayumi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto waishio katika vituo vya kulelea watoto walio katika mazingira magumu wakati wa hafla ya kuwakabithi msaada wa vyakula kwaajili ya mfungo wa Ramadhani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, vituo vilivyopata msaada ni pamoja na Almadina cha Tandale, Dogodogo cha Kigogo na Hisani cha Mbagala Dar es salaam. |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.