ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 27, 2015

HATMA YA LOWASSA NDANI YA UKAWA KUJULIKANA NDANI YA SAA 24 ZIJAZO WAKANUSHA PICHA ZA MITANDAONI


kama waliweza kutengeneza video ya Ugaidi ya Lwakatare wakashindwa kuithibitisha Mahakamani watashindwa kutengeneza Picha?

Picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni za kutengeneza Lowassa hakuwepo kwenye kikao cha CC ..Tuzipuuze

Mh Mbatia asema hatma ya Lowassa katika umoja huo ujulikanao kama Ukawa itajulikana ndani ya saa ishirini na nne zijazo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.