ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 16, 2015

WAZIRI MEMBE ASHIRIKI MAZISHI YA MUFTI MKUU ISSA SHABAN BIN SIMBA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akitoa neno kwa umati wa waombolezaji katika msiba wa Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga, baada ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akisindikizwa na Askofu Liberatus Sangu baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni 16.2015. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe  akisalimiana na wananchi baada ya weka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto), akijadiliana jambo na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye walipiokutana baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni 16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akijadiliana jambo na Askofu Liberatus Sangu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni 16.2015. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto), akimpa mkono wa pole Bw. Ahmad Simba ambaye ni mdogo wa marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa msiba nyumbani kwao katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni 16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto), akimpa mkono wa pole Bw. Ahmad Simba ambaye Mtoto wa marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba akitoa neon la shukrani baada ya kumaliza mazishi ya Baba yake nyumbani kwao katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni 16.2015.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.