Baadhi ya wananchi waliofika kushuhudia makabidhiano hayo. |
Wafadhili wa shule ya sekondari Kishumundu iliyopo wilaya ya Moshi wakisalimia mara baada ya kutambulishwa katika hafla hiyo. |
Mhifadhi mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufunguro akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Bweni la wasichana ambalo ujenzi wake umefadhiliwa na TANAPA. |
Meneja Ujirani Mwema wa Hifadhi za Taifa Tanzania,TANAPA,Ahmed Mbugi akisalimia katika hafla hiyo. |
Wanafunzi wa Shule ya sekondari Kishumundu wakitoa burudani ya nyimbo mbele ya wageni waliofika shuleni hapo kwa ajili ya makabidhiano ya jengo la Bweni la Wasichana lililojengwa ufadhili wa TANAPA. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa hafla hiyo. |
Bweni la wasichana katika shule ya sekondari ya Kishumundu lilojengwa naTANAPA. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizindua rasmi Bweni la wasichana katika shue ya sekondari Kishumundu. |
RC,Gama akikata utepe kufungua jengo la Bwenila wasichana katia shule ya sekondari Kishumundu wilayani Moshi. |
Sehemu ya ndani ya Bweni la wasichana katika shule ya sekondari Kishumundu,Jengo lililojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.