Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira wakati alipofungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. |
Ze nyomi. |
Watoto, vijana, akina mama na akina baba wako hapa. |
Parade. |
Washiriki wa UMISSETA Kanda ya Kati Singida na Dodoma. |
The parade. |
Kanda ya Kaskazini Magharibi. |
Kanda ya Kaskazini Mashariki. |
The parade. |
Vijana wamejitokeza kushiriki kikamilifu. |
Michezo ni furaha, michezo ni afya. |
Nyanda za juu kusini. |
Mwonekano wa uwanja kwa eneo la kati. |
Wimbo maalum uliimbwa kama sehemu za shamrashamra za Mashindano. |
Waziri Mkuu ameyasema hayo majuzi jijini Mwanza katika uzinduzi wa Mashindano ya 37 ya Michezo ya Sekondari nchini UMISETA.
Hali ya uwanja wa Nyamagana ulivyo sasa. |
Awali Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magesa Mulongo alimueleza Waziri Mkuu suala la Uwanja wa Nyamagana kuwa Changamoto kubwa, naye waziri anayehusika na TAMISEMI Hawa Ghasia akiwasihi wanamichezo kujitokeza kwa wingi katika Mashindano hayo mwanzo hadi tamati.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.