Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wa pili kushoto), akiagana na Kaimu Mhariri Mtendaji wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL), inayochapicha magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Ramadhan Mkomwa baada ya kikao na wafanyakazi wa kampuni hiyo, waliofika kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya mazungumzo naye na baadae kupata muafaka kufuatia mgogoro uliokuwa ukifukuta katika kampuni hiyo |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.