ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 26, 2015

KUTOKA PEMBA HADI MWANZA NIA NI KUSAKA WADHAMINI.

Ni Dr. Balozi Mahiga (mbele) mwanachama wa CCM kutoka Pemba, aliyetangaza nia ya kugombea kiti cha urais akihitaji udhamini toka mikoa 15 nchini sasa ametinga jijini Mwanza kwaajili ya kuusaka udhamini. 
Pilly Mgori (kulia) toka Clouds Fm Mwanza akiwa na mmoja kati ya wadau wa Balozi Mahiga wakipata picha ya ukumbusho.
Ni Dr. Balozi Mahiga (katikati) mwanachama wa CCM kutoka Pemba, aliyetangaza nia ya kugombea kiti cha urais akihitaji udhamini toka mikoa 15 nchini sasa ametinga jijini Mwanza kwaajili ya kuusaka udhamini, akiwa na baadhi ya wadau wake.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.