ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 9, 2015

KUTANA NA DJ DAVY KILA SIKU ZA WIKI KWENYE DRIVE TIME 16:00 - 19:00 JEMBE FM 93.7

Dj Davy on one & two ndani ya Jembe Fm Mwanza.
Mikuno ya zama za jioni.... na ngoma adimu mwanzo mwisho....
"Ze chata I belong" Says @deejaydavy (INSTAGRAM)
Ni mida flani hivi ya siku, majira ya jioni, umetoka fasi ya uchakarikaji, sasa unaelekea mapumzikoni unakokujua either home au kwenye kirauli kwa washkaji, ni jamaa mmoja tu atakaye punguza zile stress za mpango wa safari yako zinazotiwa chachu na msongamano wa vyombo vya usafiri barabarani (traffic jam).

Pata mziki usio kawaida kupitia Drive Time ya Jembe Fm 93.7 ukiwa Mwanza na may be uko out of Mwanza cheki kitufe cha Jembe upande wa kulia wa Blogu hii 'BOFYA SIKILIZA LIVE' kama vipi nenda kwenye Play store ya simu yako, Download kitufe cha Jembe Fm. 

Baada ya hapo utakuwa na uhuru wa kusikiliza LIVE.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.