Washindi wa Promosheni za Kilimanjaro kutoka mikoani walikula Bata jijini Dar es Salaam kushuhudia Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015, Mlimani City jijini Dar es Salaam. |
Bata likiendelea. |
Hatukamatiki. |
Kuboresha afya muhimu. |
Mida ya kujipanga...Hii ndiyo raha ya kitu kimiminika... kimya .. hatunywi juisi, ngangari ile kisawasawa...fiti fitikali... wengine tayari.... |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.