Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas Pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii |
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka kwenye stageni na moja ya nyimbo zao. |
Joniko Flower naye katika muziki wa live hashikiki kwa sauti,viuno mpaka pumzi ni hatareeeee |
Watu navipaji vyao sasa team sky light band ikiongozwa na Ashura Kitenge katika miondoko ya zouk huku akisindikizwa na waimbaji wenzake katikaka,Sony Masamba pamoja na AK 47 meneja wa sky light band |
sakata lumba na sky light band hapana chezea hatareee ukigusa lazima unase |
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba mmoja ya nyimbo yenye hisia kali sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi |
Sugua sugua mpaka utakate ni nomaaaama saaanaa karibu leo kuna mambo mazuri ndani ya Skylight Band. |
Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii |
kwaraha zao huku wakiwa wanafuatisha styl za bendi yao pendwa mashabiki walionekana na nyuso za furaha katika mstari mmoja tayari kwa kuyarudi. |
Waimbaji wa Skylight Band wakizirudi sebene zilizokuwa zikiimbwa na Joniko Flower. |
Sam Mapenzi pamoja(Kushoto) na Ashura Kitenge wakiimba kwafuraha huku wakiwakonga nyoyo mashabiki wa Skylight Band. |
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live na mwimbaji mwenzake Sony Masamba wakiwa wanaendelea kutoa burudani murwa kwa mashabiki wao. |
Mbwembwe dizaini. |
Ilikuwa noma sana jumamosi hii maana ilikuwa ni kubeneka mpaka kunakucha. |
katika ubora wake Sony Masamba akiwa anaonyesha namna ya kucheza styl mpya na Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower. |
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao ndani ya kiota cha Lukas pub |
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba sambamba na msanii mwenzake Ashura Kitenge. |
baada ya kuonekana kukunwa na burudani inayotolewa na band ya sky light mashabiki wakaanza kulisakata. |
wajanja wote tunakutana skylight band kila weekend kutupa shida chini na kuweka mikono juu huku viuno tukiwa hatuvisahahu kuvino sasa. |
Mmoja wa mashabiki wa Bendi ya Skylight akichukua kumbukumbu. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.