![]() |
| Shengwe za wananchi kwa tamasha lililopigwa tangu saa 7 mpaka asubuhi siku iliyofuata na hapa ni mapema kabisa ngoma saa tisa huku burudani zikiwa tayari zimeshika kasi. |
![]() |
| Ming'aro ya Mwanza wenyeji na wageni. |
![]() |
| Mkali mwingine huyu hapa akionesha ufundi. |
![]() |
| 'Shikilia' |
![]() |
| JJ Band walikisanukisha ile mbaaaayaa... |
![]() |
| Director Shahib wachaaaaaa......'Changamka' na 'Chemsha Ubongo' |
![]() |
| 'Mida ya night' |
![]() |
| 'Changamka' |
![]() |
| Ze area at JEMBEKA FESTIVAL lililofanyika mwishoni mwa wikijijini Mwanza. |
![]() |
| Mo Music toka Mwanza. |
![]() |
| Mensen Selector alikamua ile kisawasawa.... |
![]() |
| Kanyaboya ilibamba.. |
![]() |
| Toka kijiji cha Jembeka VIP Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Mhe. Stanslaus Mabula mwenye koti jekundu nyuma akiwa na wadau wa burudani akiwemo msanii Juma Nature. |
![]() |
| Hisia.... |
![]() |
| Jembeka Red Carpet. |
![]() |
| Pam D akiwa na shabiki wake. |
![]() |
| Pam D (kushoto) akiwa na Baraka De Prince. |
![]() |
| Rais wa Team Maua Classic 'Bob White Pamba' akihojiwa na mtangazaji wa 93.7 Jembe Fm mwanadada Jackline Shuma wa kipindi cha Hit Zone. |
Tupe maoni yako





















0 comments:
Post a Comment