![]() |
| Maeneo ya nyumba za makazi katika mji wa Lamadi yaliyokumbwa na mafuriko. |
![]() |
| Ni sehemu ya msaada wa chakula, blanketi na majiya kunywa vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Busega, DK. Titus Kamani kufatia kukumbwa na mafuriko. |
![]() |
| Upakuzi... |
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Busega, Paul Mzindakaya (mwenye kofia), akitoa taarifa kwa waandishiwa habari kutoka vyombo mbalimbali waliokuwa katika kijiji cha Lamadi yalipotokea mafuriko. |
Tupe maoni yako

















0 comments:
Post a Comment