ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 22, 2015

YAMOTO BAND KUWA MWANZA JUMAMOSI YA MKESHA WA PASAKA


Katika kuikaribisha sikukuu ya pasaka wale vijana wanaojua kuitendea haki stage ya burudani Yamoto Band watakuwa jijini Mwanza wakimwaga burudani kwa wa wadau wa pande hizo husika. Sasa ili kupata kwa kina mpango mzima BOFYA PLAY KUSIKILIZA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.