![]() |
| Rais wa bendi ya Super Kamanyola Shushu Di. Cando akiimba ndani ya usiku wa Burudani katika kiota cha maraha Villa Park Mwanza. |
![]() |
| Rapa machachali 'Defender' |
![]() |
| Two Brothers Rashid Mwezingo (kulia) na mwimbaji mwenzake Kadjo Litungu, hapa ni kikazi zaidi. |
![]() |
| Hatariii. |
![]() |
| Kadjo Litungu akiongoza safu ya Super kamanyola katika moja ya nyimbo zilizokuwa zikitumbuizwa toka jukwaa la Villa Park Mwanza. |
![]() |
| Dundadunda na Super Kamanyola. |
![]() |
| Paratatam...pankupanku....!! |
![]() |
| Karmodee (mpiga bass) |
![]() |
| Mpiga solo Alan Mwepu. |
![]() |
| Sele Cardance ndiye mkaanga chips aka drums. |
![]() |
| Kikosi cha Super Kamanyola. |
Tupe maoni yako











0 comments:
Post a Comment