|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi. Evarist Ndikilo, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Kilometa 10 ya lami ya Msoga-Msolwa, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika jana Feb 17, 2015 Msoga. Picha na OMR |
|
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kuzindua barabara hiyo ya Msoga-Msolwa jana. Picha na OMR |
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli na Mbunge wa Chalinze kwa pamoja wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Barabara ya Msoga- msolwa wakati wa hafla ya uszinduzi huo iliyofanyika jana Feb 17, 2015 Msoga. Picha na OMR |
|
Picha za pamoja kwa kumbukumbu. |
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KAGUA MZANI MPYA WA KISASA WA VIGWAZA ,
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli, wakati akimpa maelezo kuhusu Mzani mpya wa kisasa uliokamilika kujengwa eneo la Vigwaza Mkoani Pwani, ambao umeanza kutoa huduma, wakati alipotembelea mzani huo akiwa katika Ziara yake ya Mkoa wa Pwani jana Feb 17, 2015. Picha na OMR |
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli, wakati akimpa maelezo kuhusu Mitambo ya Mzani mpya wa kisasa uliokamilika kujengwa eneo la Vigwaza Mkoani Pwani, ambao umeanza kutoa huduma, wakati alipotembelea mzani huo akiwa katika Ziara yake ya Mkoa wa Pwani jana Feb 17, 2015. Picha na OMR |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.