ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, February 19, 2015

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AFUNGUA RASMI MKUTANO WA KIKANDA JUU YA UKUAJI NA MAISHA YA BAADAYE YA MIJI YA AFRIKA MASHARIKI

Afisa mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) Prof.Joseph Semboja, (Kulia) akimkaribisha Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh. Balozi Seif Ali Iddi, (kushoto) kufungua rasmi Mkutano wa kikanda uliokutanisha viongozi na watunga sera kutoka nchi za Afrika mashariki , kuzungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, katikati ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick. Mkutano huo wa siku mbili umefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro Hotel ya jijini Dar es Salaam.
 Afisa mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute) Prof. Joseph Semboja, (Kulia) akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi Seif Ali Iddi, wa tatu toka kulia,  kufungua rasmi mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick, na wa Pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu , tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia , mkutano huo wa siku mbili umefanyika leo katika hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.
Afisa mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute)“Uongozi Instutite”, Prof. Joseph Semboja, kushoto, akiongea na Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika Mashariki katika Mkutano unaozungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika  ifikapo 2050. Mkutano huo umefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.
Afisa mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa maendeleo Endelevu “Uongozi Instutite”, Prof.Joseph Semboja, wa kwanza kushoto, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu , tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia, wa Pili toka kushoto na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh.Balozi Seif Ali Iddi wakimfuatilia mtoa mada hayupo Pichani wakati wa Mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za  ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika ifikapo 2050, mkutano huo wa siku mbili umefanyika leo katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro Hotel jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mistra Urban Futures Prof ,David Simon, akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki , kuzungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika ifikapo 2050. Mkutano huo wa siku mbili umefanyika katika Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi Seif Ali Iddi, (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Khartoum Sudan, AbdelRahman Alkhidir, wakati wa mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki , kuzungumzia changamoto za  ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika ifikapo 2050, mkutano huo umefanyika katika Hotel ya  Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (kulia) akifafanua jambo kwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mh, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) wakati wa mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika mashariki , kuzungumzia changamoto za  ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika ifikapo 2050. Katikati ni Gavana wa Khartoum Sudan, AbdelRahman Alkhidir. Mkutano huo umefanyika katika Hotel ya Hyatt Regency  jijini Dar es Salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.