Na Faustine Ruta, Bukoba
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Emil Malinzi wa pili kutoka (kushoto) akiongozana na Baadhi ya Viongozi wa Mpira hapa Nchini leo hii Mchana alipowasili katika Uwanja wa Kaitaba unaokarabatiwa kuwekwa Nyasi za Bandia. Bw. Jamal Emil Malinzi pia ndie Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA) alipowasili hapa Bukoba amezungumza na Viongozi wa Soka Mkoani hapa Kagera na baadae mchana kutembelea uwanja huo.

Meneja wa Mradi Bw. Doron Mommsen akionesha kile kinachoendelea atika Uwanja huo wa Kaitaba. |
Meneja wa Mradi Bw. Doron Mommsen akishukuriwa na Rais Jamal Malinzi Uwanjani hapo Kaitaba baada ya kumwelezea kwa kirefu katika Ujenzi huo wa Uwanja. |
Dreva akiendelea na kazi yake Katika Uwanja akishindilia Udongo ili waweze kupata Usawa. |
Picha ya Pamoja Meneja wa Mradi Bwana Doron Mommsen (katikati) Rais wa TFF Bwana Jamal Malinzi, Viongozi na Wafanyakazi |
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Emil Malinzi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.