ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, January 12, 2015

KUMBE EBOLA NI MPANGO WA MAREKANI..??

HAYA sasa... Ule mgogoro uliokua unaendelea baina Ya Marekani na Korea Kaskazini..wametunishiana msuli mwishowe wameanza kuvuana Mpaka Nguo...

Awali Marekani kupitia kampun ya Sony Pictures iliamua Kutengeneza na kuionesha Filamu iitwayo ""the Interview"" inayomkashifu rais wa Korea kaskazin Kim Jong Un...na kuonesha namna gan anaweza kuuwawa kiurahisi, wakorea walichukizwa sana na kitendo hicho hadi kufikia kufanya Hacking kwenye Server za Computer za Kampun ya Sony Pictures ili kuifuta hiyo Filamu lakin ikashindikana.

Baada Ya muda wamarekan wakapenya kwenye Internet system ya Wakorea kaskazin na kufunga Huduma ya Internet kwa Masaa 9..nchi zima ikawa haina huduma hiyo..
Baada ya tukio hilo Rais wa Korea kaskazin alichimba mkwara kua marekan imejipalia makaa ya moto kwa maana kinachofuata sasa ni Korea kuishushia Makombora Marekani...

Kabla hatua hiyo hatujaona ikitekelezwa Leo nimekutana na hii Taarifa inayosema kwamba Rais wa korea kaskazin ameitaja Marekani kua ndiye aliyetengeneza Virusi vya Ebola kama Moja ya silaha za Kibaiolojia katika kupambana na maadui zao..

Korea inasema kwamba Mpango huo umeigharimu marekani Dola Milion 140 za kimarekan na kuanza majaribio ya Silaha hiyo kwa kuijaribia Barani Afrika...

Taarifa nzima kuhusu hii ripoti hii hapa
Korean Central News Agency (KCNA) called for the US to face a human rights trial
North Korea is accusing the US of spreading the Ebola virus, claiming it has been “bent on the development of bio-weapons” in order to achieve world supremacy.

The secretive state reacted strongly to the Ebola outbreak by closing its border to tourists and quarantining anyone who does enter. Now, a report by the Korean Central News Agency (KCNA) is claiming an aide to ex-President Reagan informed them the US had invented a progenitor of Ebola virus “for the purpose of launching a biological warfare”.

The aide was named as Roberts, who The Washington Post said could be a reference to Paul Craig Roberts, an economist.

Mr. Roberts recently published a blog post entitled ‘Is The US Government The Master Criminal Of Our Time?’ which cited work published by two academics on Ebola.

Only a few weeks after a UN resolution condemned the country’s human right’s record, (KCNA) criticized the US for its own human rights record.

The article said the US had given $140 million (£89 million) to a pharmaceutical company for research into the virus and chose Africa as a bio-weapon testing ground. It credited this claim to an unnamed Liberian professor.

It also claimed that the “US Department of Health and Human Services” admitted that the US “imperialists” have long conducted “vivisection with fatal epidemics, inflicting untold sufferings on mankind”.

It added: “Russian, Singaporean and American newspapers criticized that the US developed anti-Ebola virus vaccine through experiment on Ebola contagion, but has prevented this vaccine from being known to the world, only for its own interests.”

It also went on to claim that the Aids pandemic was also created by the US. In one final accusation, it said: “As already known to everyone, the US is the world’s biggest nuke possessor.”

North Korea Accuses US Of Spreading Ebola And Choosing Africa As A Bio-Weapon Testing Ground | The Source

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.