Mchezo wa tatu sasa Kagera Sugar inapoteza, tangu ilipouteuwa uwanja wa CCM Kirumba kuwa uwanja wake wa Nyumbani kupisha ukarabati wa uwanja wa Kaitaba unaowekewa nyasi bandia sasa kwa msaada wa FIFA Katika mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara uliochezwa Kagera imetota mbele ya Ndanda Fc mara baada ya kufungwa 1-2. ZAIDI SIKILIZA YALIYOJIRI DIMBANI
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.