Habari wadau, tunashukuru kwa support yenu kupitia ngoma mbalimbali ambazo imekuwa desturi sasa unazipata kupitia mtandao wa GSENGO BLOG. Safari hii pokea ngoma mpya kutoka kwa FLORA MVUNGI a.k.a H.MAMA ambaye pia ni mke H.BABA. Ndani ya ngoma hii amemshilikisha mfalme wa miduara nchini Tanzania, kutoka Kisiwa cha Zanzibar mwanamuziki 'AT'
0 comments:
Post a Comment