![]() |
| Watoto toka familia mbalimbali wamejumuika katika viwanja vya Isamilo International Schoo Mwanza katika Bonanza la Michezo kwa Familia, mwishoni mwa wiki. |
![]() |
| Meza ya vinywaji. |
![]() |
| Michezo mizuri kwa watoto. |
![]() |
| Team NBC nao walikuwepo kwaajili ya kushiriki kama sehemu ya wazazi pia kama wadhamini ambapo walishuka dimbani kucheza soka na wazazi wengine. |
![]() |
| Team ya Wazazi wengine. |
![]() |
| Salaam kabla ya mchezo. |
![]() |
| Patashika...Mshambulia wa NBC Bank Wazazi akimtoka mtu... |
![]() |
| Juuu kwa juu. |
![]() |
| Kipute kikiendelea... |
![]() |
| Penatiiiii... |
![]() |
| Slide show. |
![]() |
| Watoto wakijiachia katika viwanja vya shule yao kusherehekea Bonanza la Funga Mwaka Isamilo International School. |
![]() |
| Jump ya watoto.. |
![]() |
| Michezo ya kukimbia na magunia kwa akinamama na akina dada wazazi wa wanafunzi wa Isamilo International School. |
![]() |
| Go...! |
![]() |
| Patashikaz... |
![]() |
| Mara pwaaa....!! |
![]() |
| Sasa ni zamu ya akinababa kukimbia na magunia. |
![]() |
| Jump jump....!! |
![]() |
| Who is the winner...? |
![]() |
| Mashindano ya kutembea na yai kwa wazazi. |
![]() |
| Mzazi huyu ndiye alikuwa mshindi kwa upande wa akinamama katika shindano la kufukuza kuku. |
![]() |
| Kakuku kwe--kwe--kwe--kwekweeeEE...!! |
![]() |
| Kuvuta kamba zoezi likisimamiwa na Mc Magoma kama Refarii. |
![]() |
| Dance Competition... |
![]() |
| Msosi tyme kwa wote. |
![]() |
| Kipaji huonekana tangu awali... |
![]() |
| Sehemu ya watoto wakijiachia na msosimzuri ulioandaliwa kwenye Bonanza la Wazazi na Wanafunzi Isamilo International School Mwanza, lililofanyika jumapili (mwishoni mwa wiki) |
Tupe maoni yako




























0 comments:
Post a Comment