![]() |
| Ukithubutu kukatiza katika barabara hii umeumia magari mengi yamesombwa kwani maji yamefurika na hata kuvuka daraja maarufu kwa jina la Wakoma jijini Mwanza. |
![]() |
| Njia ya daraja dogo la wamasai jijini Mwanza nako hali tete. |
![]() |
| Barabara ya kushuka toka Dampo. |
![]() |
| Engo nyingine barabara kutoka Dampo. |
![]() |
| Barabara daraja la wakoma muonekano toka upande na upande wa barabara. |
![]() |
| Hapo hapo. |
![]() |
| Kitaani ni shidah!!! |
![]() |
| Mabanda ya wamasai hali tete. |
![]() |
| Kutoka juu kilimani hadi barabara za ndani. PICHA NA ESTER WA GSENGO BLOG. |
Tupe maoni yako










0 comments:
Post a Comment