ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, November 20, 2014

WEUSI WATUA MWANZA SIKILIZA NGOMA WALIZOGONGA NDANI YA 93.7 JEMBE FM

Kutoka WEUSI Joh Makini Mwamba wa Kaskazini akifanya makamuzi ndani ya 93.7 Jembe Fm Mwanza chini ya usaidizi wa shavu la Dj K.Flip ambaye time za mchana ndiyo mida yake. Pichani kwa mbaaali inaonekana namba mpya kali ya usajili 2014-2015 iliyosajiliwa toka Kiss Fm,  Dj Davy wa jEMBe Djz.
BOFYA PLAY SIKILIZA KILICHOKUWA KISIKIKA HEWANI


Mkali mwingine kutoka WEUSI G.Nako naye hii leo mapemaaaaaah..... kesha timba Rock City kwaajili ya Show kali ya Funga Mwaka 2014 itakayofanyika Jumamosi hii ya tarehe 22NOV2014 pale Jembe Beach Malimbe Mwanza kwa kiingilio cha shilingi 10,000/=
"Am among jEMBe dJz"  Says Joh Makini.
Kushoto ni Producer wa Jembe Fm Okelecky akiwa na G Nako toka WEUSI.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.