ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, November 30, 2014

ILIVYOKUWA SHOW YA NGWASUMA NDANI YA VILLA PARK JIJINI MWANZA.

Waimbaji wa Bendi ya FM Akademia chini ya Rais wake Nyoshi el Saadat (wa pili kutoka kulia) wakitoa burudani kwa wapenzi wao ndani ya Villa Park Mwanza, ambapo kundi hili lilifanya makamuzi ya hatari na kuzikonga nyonyo za mashabiki wa burudani kama ada. 
Style ya Vundez ikihusishwa.
Mpiga tumba wa FM Akademia.
Drummer.....!!
Mulemule (C), Pacho Mwamba (L) na Pablo Masai (R)
Burudani toka stejini hadi kwa mashabiki.
Hapo vipi.
Makamuzi ya Vundez...!!
Samaki style.....!!!
Rapa Totoo Kalala JR (kushoto) akileta mambo.
Hapa ilikuwa ni 'saprizi' ya vocal la Afande Josee akiimba moja kati ya vipande vya FM Akademia na kuwashangaza wengi. 
Picha ya pamoja na Mule Mule FBI (R) & Pablo Masai (L).
Muziki.
The Dance of  Ngwasuma.
Waukweli Team.
Wawili-wawili.
G. Sengo na rapa Totoo Kalala.
Burudani wacha iendelee.....

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.