Mdau wa Mziki wa Kizazi kipya ndani ya Bongo na Kwengineko ulimwenguni. Pokea kazi mpya toka kwa wakongwe hawa wawili katika kuihamasisha jamii ya KI-TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015. Wimbo unaitwa MAKAMANDA, waliochana mistari humo ndani ni Mhe. Sugu na Professor Jay, umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy. BOFYA PLAY KUSIKILIZA
Maji bwawa la Mindu ni Salama - Bonde la wami Ruvu
-
Na Farida Mangube Morogoro
Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu imewatoa hofu wakazi wa Manispaa ya
Morogoro kuwa maji ya Bwawa la Mindu ni salama, kwani ke...
0 comments:
Post a Comment