| Digna Mbepera akiimba kwa ustadi mkubwa kabisa kutoa Burudani kwa mashabiki wake. |
| Kifaaa kipya machachari na moto mtoto mzuriiiiii Bela Kombo akizipiga zile vocal kaliiiii ndani ya Thai Village. |
| Aneth Kushaba AK47 Le Meneja Her Self akichunguliaaaaaa huku akizipiga zile vocal kaliiii ndani Thai village. |
| Majembe ya Skylight Band Hashim Donode wa kwanza kulia, Bela Kombo (katikati), Aneth Kushaba na Digna Mbepera(Wa kwanza kushoto) wakishirikiana kutoa Burudani kaliiii ndani ya Thai Village Masaki |
| Shabiki Huyu akashindwa kujizuia na kuamua kumpa Sapoti Aneth Kushaba baada ya kuguswa na zile vokaliii nzuriiii |
| Bana Ba Congo wakiongozwa na Sam Mapenzi(wa kwanza kulia) wakiyarudi mauno vilivyoooo kuwapa raha mashabiki wao. |
| Sony Masamba(Katikati) akizipia Vokali nzuriiii za Congo huku akipewa sapoti ya mauno nyorotiiii na Joniko Flower(wa kwanza kushoto) na Sam Mapenzi kulia |
| Rahaaa kweliiii kweliiii Bana Ba Congo wakiendelea kutoa Burudaniii safiiiii ndani ya Thai Village Ijumaa Iliyopita. |
| Weweeeee hapana chezea kabisaaa mguu juu juuuu |
| Aneth Kushaba akiyarudi maunooo vilivyoooo akipewa Sapoti na Donode (katikati). |
| Safiii kabisa Majembe kazini Digna Mbepera (mwenye Top Nyeupe) akiwa na Donode (katikati) na Aneth Kushaba wa Kwanza kulia wakiendelea kutoa burudani kaliii ndani ya Thai Village Masaki Ijumaa iliyopita. |
| Aneth Kushaba(Wa kwanza kulia)akiimba kwa rahaaaa kabisa huku akipewa sapoti na Hashimu Donode |
| Joniko Flower akiwaimbisha mashabiki hawapo piachani ndani ya Kiota cha maraha Thai Village Ijumaa iliyopita |
| Mashabiki wakicheza mastailiii kibaoooo waliyokuwa wakielekezwa na Joniko Flower, Njooo na wewe leo ujifunze kucheza kikuku na nyingine kiba0. |
| Imma Bass akimpa baraka nyingiiiiii mpiga Bass Mwenzake Tophy huku wakiwa na furaha kubwaaa kabisa.Usikoseeee Leo ndani ya Thai Village itakuwa Balaaa ............ |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment