ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 10, 2014

MKENYA ALIYEBADILI JINSIA ASHINDA KESI.


Mkenya aliyebadili jinsia ashinda kesi

8 Oktoba 2014 Imebadilishwa mwisho saa 16:22 GMT
Mahakama Kuu nchini Kenya imeliamuru Baraza la mitihani la Taifa, kubadilisha majina katika vyeti vya mitihani vya elimu ya juu vya Andrew Mbugua na kuwa Audrey Mbugua, chini ya siku arubaini baada ya mtu huyo kubadilisha jinsia bila kuonesha jinsia yake kama ni mwanaume au mwanamke.
Mwandishi wa BBC Swahili Emmanuel Igunza amezungumza na Audrey (Bofya play hapo juu kushuhudia).

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.