Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika Aliko Dangote katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote alisema kazi ya ujenzi inakwenda kama ilivyopangwa na kwamba kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kabisa kwa uzalishaji simenti katika ukanda wa Afrika Mashariki. Picha na OMR
GHALA LA MANDOO KUNUFAISHA WAKULIMA BABATI
-
Na Mwandishi wetu, Babati
GHALA kubwa jipya la mazao lililopo Kata ya Mamire Wilayani Babati Mkoani
Manyara, linalomilikiwa na mwekezaji Herman Mandoo lita...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.