Ni kawaida sasa na ni suala ambalo limezoeleka kwa msanii wa muziki wa Bongo fleva nchini Bob Haisa kufyatua single kila mwezi, safari hii (mwezi huu wa 10/2014) Bob Haisa amekuja na wimbo wake mpya alouita Tukate Keki hapa akimshirikisha mkewe Sweet K.
SIKILIZA KWA KUBOFYA PLAY.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment