Thursday, September 04, 2014
SIASA
Uhamisho wa Makatibu wa Mikoa 1. Alhaj Kundya alikuwa Unguja mjini sasa hivi anahamishiwa Mkoa wa Mbeya, 2. Sengerema alikuwa Mkoa wa Mbeya anahamishiwa Mkoa wa Shinyanga, 3.Adam Ngallawa alikuwa Shinyanga amehamishiwa Mkoa wa Mara, 4. IDD AMME alikuwa Tabora amehamishiwa Mkoa wa Kagera, Aliyekuwa Kagera Mushi amehamishiwa Mkoa wa Katavi, Masunga wa Mwanza kahamishiwa Mkoa wa Pwani na aliyekuwa pwani kapelekwa kapelekwa Pemba...Endelea kupata picha kamili kupitia jedwali la picha hapo juu..
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.