Meneja masoko wa kampuni ya vinywaji baridi ya Coca kanda ya ziwa Marco Masaka akizungumza juu ya uzinduzi wa promosheni mpya, ambao umefanyika katika viwanja vya kampuni hiyo jijini Mwanza.
|
| Masaka amesema kama watanzania watakuwa na utamaduni wa kushiriki katika matamasha mbalimbali kwa namna moja ama nyingine ana amini watapata manufaa zaidi. |
| Jinsi ya kushiriki ili upate dakika 5 za bure za kuongea, kuchati na kuperuzi mtandao wa Vodacom. |
| Mirindimo ya burudani. |
| Watu na vinywaji vyao. |
| Meneja masoko wa kampuni ya vinywaji baridi ya Coca kanda ya ziwa Marco Masaka akizungumza na wateja ambapo kulikuwa na fursa pia ya maswali na majibu kwa dakika kadhaa. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment