![]() |
| Mkali mshindi wa Karaoke Night ya mwishoni mwa wiki ndani ya Jembe Beach, Jedo Dominic akiimba Dear Mama ya 2Pac. |
![]() |
| Flowers hawa walitikisa sana mpango mzima wa Karaoke Night na sauti zao mororo, ilikuwa ni mwishoni mwa wiki Jembe Beach Mwanza. |
![]() |
| Yeeeeeah the him self...hapa ilikuwa ni mistari ya hip-hop tu!! |
![]() |
| Sebastian alishiriki vyema sana akafanya ashangiwe mwanzo mwisho. |
![]() |
| Warembo wa Rock City wakihusika na Karaoke Night iliyofana mwishoni mwa wiki naizungumzia Jumamosi ya tarehe 27sept2014. |
![]() |
| Ni mistari ya Hip hop na chorus ya R&B, Kama The Game akiwa na ......dah balaaaa. |
![]() |
| Sebastian na crew yake. |
![]() |
| Dj Davvy. |
![]() |
| We. |
![]() |
| Seth na Mmarekani mmoja hivi. |
![]() |
| Dj K-Flip, represent Jembe DJz. |
![]() |
| Selfie ya mie (L) na Victor Maleko (R) |
![]() |
| Dj K-Flip akiongoza mchakato wa kusaka mshindi....Uskose kila jumamosi. |
![]() |
| 'Mshindi wa Karaoke Night ya 27sept2014 ni Jodo' na hapa akitunukiwa zawadi zake na mmoja kati ya wawakilishi wa Club Jembe. |
![]() |
| Pepsi walikuwa ni sehemu ya wadhamini. |
![]() |
| Wakipata 'u-snape' Jodo na fans wake. |
![]() |
| Seth na shabiki wake jamani. |
Tupe maoni yako


















0 comments:
Post a Comment