![]() |
| Ni namba nyingine mpya mwanamuziki wa kike Cindy akiimba kama sehemu ya utambulisho, katika ukumbi wa Villa Park 'Sebuleni' wakati wa show ya utambulisho iliyofanyika juzi ijumaa. |
![]() |
| Mpiga solo mpya wa Super kamanyola Frank Joshua. |
![]() |
| Mfaume ni mpiga rydhim... |
![]() |
| Bass guitar linakamatwa na Camorde. |
![]() |
| Rapa mpya aliyeingia jiunga na Bendi ya Super Kamanyola 'Difender' ni matata huyo, machachari haswaaa awapo jukwaani ni moto wa kuotea mbali...!! |
![]() |
| Zile chips hukaangwa na Totoo. |
![]() |
| 'Kolabo' la hatari toka kwa Rashidi Mwenzingo (kushoto) na mwanadada Cindy (kulia). |
![]() |
| Brothers. |
![]() |
| Kikosi kamili cha bendi ya Orch Super Kamanyola. kikiwa na madansaZ wake. |
![]() |
| Kushoto ni densa aitwaye Patricia Nzomba akiwa na Mwalimu wa bendi Beno Villa Anthony. |
![]() |
| Tukutane Villa Park ule raha kila Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.. |
Tupe maoni yako












0 comments:
Post a Comment