![]() |
| Kuelekea kinyang'anyiro cha kumsaka Rsdds miss Lake Zone 2014 warembo wanapata nafasi ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saananae iliyopo ndani ya ziwa Victoria jijini Mwanza. |
![]() |
| Kabla ya safari kuelekea kisiwa cha Saanane washiriki hao tembelea ofisi za Tanapa zilizopo Capri Point jijini Mwanza na kupewa taarifa ya shughuli mbalimbali. |
![]() |
| Fuvu la Tembo na taarifa zake. |
![]() |
| Nje ya ofisi za Tanapa Mwanza. |
![]() |
| Picha na fuvu la tembo. |
![]() |
| Kaa tayari kwaajili ya safari... |
![]() |
| Wadau wa sekta ya habari na hifadhi hiyo pia walikuwemo kwenye msafara.. |
![]() |
| Baada ya kutua kisiwa cha Saanane. |
![]() |
| Swala. |
![]() |
| Warembo na punda milia. |
![]() |
| Ndani ya hifadhi wanyama hawa ni marafiki. |
![]() |
| Mapumziko mafupi huku wakidadisi hili na lile. |
![]() |
| Tour study. |
![]() |
| The angle. |
![]() |
| Karibu ushuhudie kinyang'anyiro cha Redds miss Lake Zone 2014 tarehe 30/08/2014. |
Tupe maoni yako















0 comments:
Post a Comment