| Rais Jakaya kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Tanzania 11. |
| Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Real Madrid Legends. |
| Luis Figo (kushoto), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa. |
| Hekaheka langoni mwa Tanzania. |
| Mohamed Mwameja akiwa ameshika kiuno baada ya kufungwa goli la kwanza. |
| Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na kocha Msaidizi wa Tanzania 11, Jamhuri Kiwhelo 'Julio' mara baada ya mchezo. |
| Kiungo wa timu ya Real Madrid Legends, Christian Karembeu akichukua picha ya kumbukumbu na Rais Jakaya Kikwete. PICHA ZOTE NA MICHUZIJR. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment