![]() |
Aksante kwa ushirikiano wako Kahama, langoni ni ulinzi asilimia 100. |
![]() |
Taswira toka moja ya milango uwanja wa Taifa Kahama. |
![]() |
Mapema kabisa baa mbalimbali zimejipanga kwaajili ya wateja kujipatia chakula na vinywaji. |
![]() |
Wadau wanajichukulia nafasi zao. |
![]() |
Sekta za misosiZ. |
![]() |
Kijukuu (pale kati) na chama lake. |
![]() |
ChomaZ. |
![]() |
Nyama banika, chipusi na ndiziZ! |
![]() |
Vyuku! |
![]() |
Tupiamo! |
![]() |
Masai iko nakula. |
![]() |
Madiko diko. |
Mzigo utapigwa hapa. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.