![]() |
Stage lilivamiwa na wasanii wote ili kuimba kwa pamoja. |
![]() |
The place uwanja wa Taifa Kahama ilishona watu wa Kahama na wageni. |
![]() |
Moja kati ya supa nyota wa mwaka jana akifanya yake Fiestani |
![]() |
Ney wa Mitego na Stamina kwa stage. |
![]() |
Walitengeneza bonge la ligi. |
![]() |
Wacha watu walipuke kwa shangwe. |
![]() |
We bwana mdogo unanauli ya kurudi Moro? |
![]() |
Mo Music. |
![]() |
The light toka kwa simu. |
![]() |
Makamuzi ya Recho yalikuwa hatari. |
![]() |
Steps. |
![]() |
Wow... |
![]() |
Tofauti na ilivyodhaniwa Jux yu mmoja kati ya wasanii walioimbisha songi zake kwa raia mwanzo mwisho. |
![]() |
Madee. |
![]() |
Bonge la kolabo la Madee na Mnyamwezi wake. |
![]() |
Mkali wa Olethemba Linah kwa back stage. |
![]() |
Full utata!! |
![]() |
The best male vocalist Barnaba. |
![]() |
Mr.Blue. |
![]() |
Selfieza hatari zilifanywa wakatiwa kuimba songi moja wasanii wote. |
![]() |
Mc wa tukio kutoka XXL ya Clouds Fm B12 (L) na Dj Fetty (R) |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.