Balozi wa wanawake nchini Linah Sanga, akiwa na msafara wake. |
Balozi wa wanawake nchini Linah Sanga na picha ya pamoja. |
Msafara wa mapokezi ya Balozi wa wanawake nchini Linah Sanga ndani ya jiji la Mwanza ambapo vile vile umeambatana na utambulisho wa single mpya ya msanii huyo iitwayo 'Ole Themba'. |
Linah na warembo at mnara wa Samaki ambao umekuwakitambulisho cha jiji la Mwanza. |
Yes!! |
Sambaza Upendo. |
With dadaZ. |
Wanasa matukio....Ni shigishigidah!! |
Safari inaendeleaaa!!. |
Hapa ni katika soko la mwalo wa Kamanga Ferry jijini Mwanza. |
Balozi wa wanawake mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Linah Sanga akizungumza na mama mfanyabiashara wa vitunguu mama Lenestina Matogo katika soko la mwalo wa Kamanga Ferry jijini Mwanza. |
Balozi wa wanawake mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Linah Sanga akimsaidia mmoja kati ya mama lishe wa eneo la Kamanga Ferry jijini kuuza chai kwa wateja wa eneo hilo. |
Balozi wa wanawake mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Linah Sanga akinunua samaki kwa mama Veronica Chalo ambaye mfanyabiashara maarufu katika soko la mwalo wa Kamanga Ferry jijini Mwanza |
Balozi wa wanawake mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Linah Sanga akinunua samaki kwa mama Veronica Chalo ambaye mfanyabiashara maarufu katika soko la mwalo wa Kamanga Ferry jijini Mwanza |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.