Kutoka usawa wa juu kiunga cha Ngarenaro na mwonekano wa mlima Meru. |
Moja kati ya kikwangua anga kinachojengwa barabara ya kuelekea sakina kutoka Triple A kwa hapa hivi. |
Kushoto ni jengo la biashara soko la Machinga ambalo limesimama ujenzi wake mwaka wa tatu sasa tangu nilione likiwa katika harakati za ujenzi. |
Juu kwa juu... |
Mtura jikoni. |
Choma chomaZ....na banikaZ za hapa na pale. |
Kanisa la Padre Babu kwa juu. |
Morning thing. |
Kuelekea Ngarenaro chini mjini Arusha. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.