Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kupambana Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya global publisher Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.