Mkurugenzi wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili
kulia) akitoa maelezo kwa viongozi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan
Mwinyi, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa Makampuni ya
SSB, Said Salim Bakhresa, wakati walipokuwa wakitembelea kujionea Uwanja wa
Azam Complex, unaomilikiwa na timu ya Azam Fc, leo Chamazi. |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.