Wasanii ambao watazipiga siku hiyo Clouds 112 (kushoto) akimchimbia mkwara JB ambaye aliishia kumuangalia kidharau na kusema anasubiri siku ya Agosti 8 katika Uwanja wa Taifa. |
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati),katikati akiwawa na mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa mpambano wao Dar es salaam juzi utakaofanyika siku ya tamasha la matumaini Agost 8 katika uwanja wa taifa. |
Clouds 112 (kushoto) akizungumzia mpambano wake wa masumbwi na JB. |
Khalid Chokoraa wa Bendi ya Mapacha akizungumzia mpambano wake wa masumbwi siku hiyo. |
Rais wa Chama cha Ngumi za Kulipwa nchini (T.P.B.O) Yasin Abdallah kushoto akizungumzia mchezo wa masumbwi siku hiyo. |
Mkutano ukiendelea. |
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (kushoto), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. |
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.