ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 30, 2014

PROMOSHENI YA JIONEE MWENYEWE KOMBE LA DUNIA LA FIFA 2014 YAHITIMISHWA LEO JIJINI MWANZA

Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka akitoa taarifa ya shukurani ya kuhitimisha Promosheni ya Kombe la dunia 2014 iliyojulikana kama Jionee mwenyewe kombe la Dunia la FIFA 2014 na Coca Cola ambapo hii leo jumla ya watu watano wamejinyakulia zawadi za luninga.
MSIKILIZE KWA KUBOFYA PLAY.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka (kulia) akimkabidhi zawadi ya luninga Godfrey Ally wa Bupandwa Sengerema mara baada ya kujishindia kupitia shindano la Jionee mwenyewe kombe la Dunia la FIFA 2014 na Coca Cola ambapo kupitia kinywaji cha Coca Cola watu mbalimbali wamejishindia zawadi tofauti tofauti.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka (kulia) akimkabidhi zawadi ya luninga Bahati Senga kutoka katoro Geita mara baada ya kujishindia kifaa hicho kupitia shindano la Jionee mwenyewe kombe la Dunia la FIFA 2014 na Coca Cola ambapo kupitia kinywaji cha Coca Cola watu mbalimbali wamejishindia zawadi tofauti tofauti.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka (kulia) akimkabidhi zawadi ya luninga Manoni Masingija kutoa Ushirika Ushirombo ikiwa ni mara baada ya kujishindia kupitia shindano la Jionee mwenyewe kombe la Dunia la FIFA 2014 na Coca Cola ambapo kupitia kinywaji cha Coca Cola watu mbalimbali wamejishindia zawadi tofauti tofauti.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka (kulia) akimkabidhi zawadi ya luninga Joshua Ibrahim kutokaKiseke Bongwe Ushirombo, mara baada ya kujishindia kupitia shindano la Jionee mwenyewe kombe la Dunia la FIFA 2014 na Coca Cola ambapo kupitia kinywaji cha Coca Cola watu mbalimbali wamejishindia zawadi tofauti tofauti.
Mshindi wa zawadi ya luninga Godfrey Ally wa Bupandwa kutoka Sengerema akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa  zawadi ya luninga bapa aliyojishindia kupitia shindano la Jionee mwenyewe kombe la Dunia la FIFA 2014 na Coca Cola ambapo kupitia kinywaji cha Coca Cola watu mbalimbali wamejishindia zawadi tofauti tofauti.
Aidha washindi wa zawadi za luninga nao walikuwa na haya ya kuzungumza.
WASIKILIZE KWA KUBOFYA PLAY.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka alitoa pia zawadi kwa wanahabari na hapa akimkabidhi mpira wa soka Zephania Mandia.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka alitoa pia zawadi kwa wanahabari na hapa akimkabidhi mpira wa soka Jackob Markus wa Star Tv.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka alitoa pia zawadi kwa wanahabari na hapa akimkabidhi mpira wa soka Wambura Mtani wa RFA.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka alitoa pia zawadi kwa wanahabari na hapa akimkabidhi mpira wa soka mwanamichezo Magasha wa RFA.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka akitoa zawadi ya mpira wa soka kwa mwanahabariambaye pia ni blogger  G. Sengo.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka alitoa pia zawadi kwa wanahabari na hapa akimkabidhi mpira wa soka mpiga picha wa Star Tv Mr. Buningera.
Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wanne kati ya watano ambao hii leo wamekabidhiwa zawadi zao za luninga kupitia hitimisho la shindano la Jionee Mwenyewe Kombe la Dunia la FIFA 2014 na Coca Cola, ambapo tayari Nyanza Bottling Co. LTD imekwishatoa zawadi za luninga 98, fulana 9790 na mipira 2127.
Picha ya pamoja na waandishi wa habari.
Washindi wa zawadi za Tiketi walioondoka hivi karibuni kwenda kushuhudia live Kombe la Dunia wanatarajiwa kurejea nchini tarehe 04/07/2014 wakiwa wameshuhudia mechi zinazoedelea nchini Brazil.

"Tunaahidi kuendelea kutoa promosheni zenye kujenga hamasa miongoni mwa jamii yetu, hakuna shaka kwamba promotion ya jionee mwenyewe Kombe la Dunia la FIFA na Coca Cola limeleta kila aina ya furaha kwa wote walishiriki na hususani waliobahatika kupata zawadi mbalimbali" alisema Marco Masaka.

Na kuongeza kuwa "Tunawashukuru sana kwa kuendelea kuunga mkono jitihada zetu, ninyi ndio mnatoa ajira kwa kutumia bidhaa zetu, tunajenga taifa letu kupitia shughuli zetu za Coca Cola, na pia tunaimarisha umoja wetu kama taifa"

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.