ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 15, 2014

PICHA ZA MAZIKO YA BONDIA MAREHEMU IRAQ HUDU 'MKUMWENA' KIMBUNGA ALIVYOZIKWA KATIKA MAKABURI YA KISUTU.

Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Iraq Hudu 'Mkumwena' wakipeleka mwili kuzika katika makaburi ya Kisutu Dar es salaam kwa ajili ya kumuhifadhi.
Baadhi ya waombelezaji na mabondia wakiwa nyumbani kwa marehemu Iraq Hudu kutoka kushoto ni bondia Adwer George, Rashidi Matumla, Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini Yasini Abdallah na Mwenyekiti wa Shiwata Cassim Twalibu.
Mtoto wa Marehemu Iraq Hudu, Daniel Hudu  kushoto akisalimiana mabondia Adrwe George,Rashidi Matumla na Rais wa TPBO Yassin Abdallah.
Mtoto wa Marehemu Iraq Hudu, Daniel Hudu  kushoto akisalimiana mabondia Adrwe George,Rashidi Matumla na Rais wa TPBO Yassin Abdallah.
Mashekhe wakisoma duwa kabla ya kwenda kuzika.
Meneja wa bendi ya msondo ngoma Said Kibiriti akisalimiana na mabondia
Baadhi ya waombelezaji waliojitokeza.
Mtangazaji Maulid Baraka Kitenge akizungumza na mabondia mbalimbali wakati wa msiba wa bondia Iraq Hudu.
Mtangazaji wa kipindi cha Michezo Maulid Baraka Kitenge akisalimiana na bondia mkongwe ambaye kwa sasa ni kocha wa MKoa wa Tanga katika wilaya ya Muheza Chales Muhilu 'Spins'.
Bondia Marehemu Iraq Hudu 'Kimbunga' kulia enzi za uhai wake katikati ni marehemu bondia Papa Upanga.
Bondia Iraq Hudu' Kimbunga (enzi za uhai wake) kulia akipambana na Stanley Mabesi katika moja ya mapambano yao.
IRAQ HUDU.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza la marehemu IraQ.
Mmoja wa waombelezaji kulia akimpa pole bondia Chuku Duso katika msiba wa bondia Iraq Hudu.
Ibrahimu Kamwe na Said Chaku.
Wadau mbalimbali wa mchezo wa ngumi wamekusanyika hapa kushiriki.
Waombolezaji wakiwa wameubeba mwili wa marehemu Iraq Hudu kuelekea mazikoni.
Waombolezaji wakiweka udongo katika kaburi la marehemu Iraq Hudu.
Waombolezaji wakiweka udongo katika kaburi la marehemu Iraq Hudu.
PICHA NA
 www.superdboxingcoach.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.