ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, May 25, 2014

REAL MADRID NDIYO MABINGWA ULAYA (UEFA)

Timu ya Real Madrid imewacharaza mahasimu wao wa jadi katika ligi ya uhispania Atletico Madrid mabao 4 kwa moja katika fainal ya kombe la kilabu bingwa barani ulaya.
Ushindi huo ni wa kumi kwa timu ya Real Madrid.
Atletico waliendelea kuongoza hadi katika mda wa majeraha ambapo Real Madrid ilikomboa na kuilazimu mechi hiyo kuchezwa katika mda wa ziada.Atletico Madrid ndio iliotangulia kucheka na wavu katika kipindi cha kwanza cha mchuano huo.
Na huku ikiwa imesalia dakika kumi ,Real Madrid ilipata mabao matatu kupitia wachezaji,Gareth Bale,Junior Marcelo na Christano Ronaldo.
Atletico Madrid haijawahi kushinda taji la ubingwa huo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.