| Uzinduzi wa king'amuzi chao kipya aina ya explorer. |
| Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king'amuzi chao kipya aina ya explorer. |
| Wageni waalikwa na wateja wa DSTV wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Southern Sun Hotel jana kwenye uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya Explorer. |
| Edo Kumwembe akiuliza jambo kwa Meneja mahusiano wa DSTV Barouba Kambogi wa nne kutoka kushoto jana kwenye Hotel ya Southern Sun. |
| Wateja na wadau wa DSTV wakiwa wanabadilishana mawazo kuhusu huduma mpya iliyoanzishwa na DSTV ya king'amuzi kipya aina ya Explorer. |
| Meneja uendeshaji mwenye shati ya kaki Ronald Shelukindo akifurahia jambo na Meneja uhusiano DSTV Barba Kambogi kwenye uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya explorer. |
| Meneja mahusiano wa DSTV Barba Kambogi akifafanua jambo kwa wateja wa DSTV jana. |
| Wateja wa DSTV wakifuatilia kwa umakini mkubwa uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya explorer. |
| Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akifafanua utofauti wa king'amuzi hicho kipya na kile cha zamani jana Kwenye Hotel ya Southern Sun. |
| Wanahabari wakichukua matukio kwa umakini kabisa. |
| Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya aina ya explorer kinavyoweza kurekodi matukio tofauti na kuweza kuyaangalia baadae. |
| Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya aina ya explorer kinavyoweza kurekodi matukio tofauti na kuweza kuyaangalia baadae. |
| Edo Kumwembe akiuliza Swali ili aweze kujua namna jinsi king'amuzi hicho kinaweza kufanya kazi. |
| Wadau uzinduzi wa king'amuzi chao kipya aina ya explorer. |
| Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akisoma jina la mshindi wa droo ya kulipiwa mwezi mmoja bure wa kuangalia vipindi vya DSTV. |
| Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akimkabidhi vocha mshindi wa droo ya kulipiwa mwezi mmoja bure Bi Vicky Kimaro. |
| Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akichanganya majina ya washiriki wa droo ya kujishindia seti ya DSTV. |
| Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo na meneja Mahusiano Barba Kambogi wakimkabidhi mshindi wa droo ya set ya DSTV ungo,decoda na vifaa vyote vya kuunganishwa. |
| Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo na Meneja mahusiano Barba Kambogi wakimkabidhi zawadi ya kingg'amuzi kipya aina ya Explorer bwana Bernad Mukasa. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment