ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, May 14, 2014

BOB HAISA - BHATOJA (Official Video)

MSANII wa Muziki wa Bongo Flava nchini Bob Haisa kutoka Kanda ya ziwa mkoani Mwanza hatimaye ameachia video ya wimbo wake mpya aliouimba kwa lugha ya kabila la watu wa Sukuma uitwao Bhatoja. 

Wimbo huo uliokuwa ukitumika na ukiendelea kutumika katika shamrashamra za harusi, ukiimbwa na watu wa kabila hilo kubwa maarufu duniani ameuboresha kwa kuuimba kwa ladha inayotakikana isiyoondoa hisia za wimbo wa kale, vilevile ameuwekea midundo iliyotulia sambamba na kuzingatia maneno husika ya wimbo huo.

Pata kushuhudia video ya wimbo huo hapo CHINI.    

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.